Rais Pombe Magufuli asema wasichana waliozaa wasirudi shuleni

Tangazo la rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kuwa wasichana wanaojifungua wakiwa shuleni wasipewe nafasi ya kuendelea na masomo limezua mjadala mkali miongoni mwa wazazi, washikadau wa elimu na mashirika ya kijamii. Samuel Mwalongo ameandaa taarifa hiyo kwa kina kutoka Tanzania.

Tags:

Dr. John Pombe Magufuli pregnant school girls wasichana waliozaa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories