Rais Uhuru Kenyatta azuru maeneo ya Kiambu

Rais Uhuru Kenyatta amewataka viongozi wa Jubilee kusitisha kampeni za kuwasajili wanachama wake na badala yake kujitosa kikamilifu kuwahamasisha wapiga kura wajitokeze kusajiliwa. Akizuru kaunti ya Kiambu, Rais Kenyatta amewasisitizia wagombea wa Jubilee kukomesha malumbano na kuweka juhudi zao pamoja kuhakikisha kuwa upinzani hautwai mamlaka. Naye naibu rais William Ruto alikita kambi katika kaunti ya Turkana.

Tags:

kiambu Rais Uhuru Kenyatta Usajili wa wapigakura

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories