Ruto azuru Malava, Mautuma na Sango, Kakamega

Naibu Rais William Ruto amesema kuwa viongozi wa muungano wa NASA hawawezi kutwikwa majukumu ya kutoa maamuzi yanayowahusu zaidi ya watu milioni arobaini ilihali wameshindwa hata kuamua nani kati yao atapeperusha bendera ya urais.Ruto anasema kuwa kutokuwepo na kiongozi rasmi wa muungano wa NASA miezi sita kabla ya uchaguzi ni ishara kamili kuwa wapinzani wa Rais Kenyatta hawana mwelekeo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories