Ruto, Mudavadi waongoza mkutano wa kisiasa Bomet
Published on: June 01, 2017 09:12 (EAT)
Vinara wa muungano wa Nasa Musalia Mudavadi na gavana wa Bomet Isaac Ruto wamewaongoza mamia ya wakazi wa kaunti hiyo kwenye mkutano wa kisiasa ulioandaliwa mchana wa leo.Wakati huo huo, viongozi mbalimbali wa chama cha ODM pia waliandaa mkutano sawia katika kaunti ya Migori.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment