Serikali yakana kuagiza mahindi kutoka Mexico

Mahindi yalisaforishwa kutoka nchini mexico yamekaguliwa hii leo huku wasaga wa kibinafsi tayari wamepokea mahindi hayo hivyo basi serikali kutangaza kuwa bei ya mahindi kutarajiwa kupungua mwanzo wa mwezi julai. Hata hivyo serikali imepuuzilia mbali madai ya mahindi hayo kuwa mahindi hayo sio rangi ya manjano. Saida swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories