Serikali yatangaza hali ya njaa Kwale, Kilifi

Zaidi ya watu milioni 1.3 humu nchini wanahitaji misaada ya haraka ya vyakula kutokana na ukame. Maeneo kama vile Kilifi, Samburu, Taita Taveta, na hata maeneo ya mto Tana yametajwa kuwa ndio yameathirika pakubwa na hali hiyo ya kiangazi.

Tags:

Mwangi Kiunjuri hali ya kiangazi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories