Sherehe ya kufunguliwa kwa chemba ya bunge yatibuka

Sherehe ya kufunguliwa rasmi kwa chemba za kaunti ya Nairobi hazikufanyika baada ya wageni waliolalikwa akiwemo Rais Uhuru Kenyatta kukosa kuhudhuria kikao hicho.Kuliziuka hali ya suitofahamu katika afisi za kaunti huku makundi ya vijana yakiandamana na kusababisha sherehe hizo kusitishwa.Victor Kenani ana taarifa hii.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories