Sherehe Za Inooro Jijini Nairobi
Published on: October 26, 2014 08:04 (EAT)
Mamia ya wasikilizaji wa radio ya Inooro inayomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services walijumuika katika uwanja wa kanisa la PCEA la St Andrew hapa jijini Nairobi katika sherehe za ushindi wa mtangazaji Muturi Wamuiru kwa kushindwa taji la mtangazaji bora kwa miaka miwili mtawalia. Muturi ametuzwa kwa kutia fora katika kipindi chake ambacho hupeperushwa kwa lugha ya Kikuyu kwa kujishindia umaarufu mkubwa kati ya wasikilizaji.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment