Shirika La Fly 540 Lajitetea

Shirika la ndege la  540 limejiondelea  lawama katika tukio la jumamosi usiku pale mmoja wa abiria wao alifariki kutokana na kilichodhaniwa wakati huo kuwa maradhi ya Ebola au Marburg. Shirika hilo linadai kuwa kabla yakumruhusu kusafiri mwanamke huyo kutoka juba, alilazimika kupata barua ya daktari kumruhusu kusafiri kwa ndege na kwamba abiria wengine hawataambukizwa maradhi anayougua

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories