Shirika la KQ lazidi kukumbwa na masaibu

Maafisa wa serikali wamekutana kujaribu kupata suluhisho ya masaibu yanayoikumba kampuni ya ndege ya Kenya Airways.
Mazungumzo hayo yanalenga kuwashawishi marubani wasitishe mgomo wao waliopanga kuuanza hapo kesho. Mkutano huo umeandaliwa na waziri wa leba Phyllis Kandie.

Tags:

Kenya Airways

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories