Shirika la msalaba mwekundu latoa msaada Baringo

Kaunti ya Baringo ni mojawapo wa kaunti kumi na tatu ambazo zimeathirika zaidi na ukame. Shirika la msalaba mwekundu limetoa msaada kwa wakazi ambao wameathirika zaidi na janga la njaa. Shirika hilo litatoa shilingi elfu tatu kwa kila  familia ambazo ni elfu 1500 kwa njia ya M-pesa  ili kusaidia jamii hizo. Tangazo hilo linajiri siku moja baada ya serikali kutangaza njaa kuwa janga la kitaifa.

Tags:

Red Cross . ukame Kiangazi njaa Shirika la msalaba mwekundu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories