Shirika la Rosemary Odinga lamulikwa kwa madai ya kukiuka sheria za ufadhili

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi inayoshughulikia mashirika yasiyo ya kiserikali Fazul Mahamad sasa anamtaka gavana wa benki kuu Patrick Njoroge kufunga akaunti za shirika la kijamii linalohusishwa na mwanawe Mgombea urais wa NASA Rosemary Odinga.
Fazul anadai shirika hilo kwa jina Key Empowerment Foundation Kenya limepokea ufadhili kutoka kwa shirika la marekani la George Soros wa zaidi ya nusu bilioni kinyume na sheria.

Tags:

Rosemary Odinga George soros

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories