Shughuli ya kutafuta makurutu wa jeshi yaanza rasmi

Shughuli ya uteuzi wa makurutu watakaojiunga na jeshi la kdf lilingoa nanga hii leo na linatarajiwa kuendelea hadi tarehe 14 nwezi ujao.

Naibu mkuu wa jeshi luteni jenerali joseph kasaon ameonya walaghai dhiidi ya kuzonga uteuzi huo unaolenga makurutu 3000 kutoka kote nchini.

Zoezi hilo litafanyika katika vituo 230 vilivyoratibiwa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories