Shule 10 hazitapata matokeo ya KCSE mwaka huu
Published on: December 20, 2017 08:14 (EAT)
Mtihani wa KCSE haukukosa mushkili. Matokeo katika shule kumi yamezuiliwa, ili kuwapa wataalamu nafasi ya kuyachunguza kutokana na madai ya udanganyifu. Kadhalika, waalimu 40 wanakabiliwa na tishio la kupigwa kalamu na kufunguliwa mashtaka, kwa kuruhusu au kuwezesha udanganyifu kufanyika.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment