Shule ya “Uhuru” yamulikwa

 

Waalimu wawili kutoka shule ya upili ya uhuru wanadai kuwa maisha yao yako hatarini baada ya madai ya kunyanyaswa na mwalimu mkuu wa shule hiyo na kutaka serikali kuingilia kati. Saida swaleh alipata fursa ya kuzungumza nao na kuandaa taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories