Shule ya Wareng inatumia teknolojia kufuatilia wanafunzi shuleni

Mara nyingi wanafunzi hukosa kuhudhuria masomo yao bila walimu au wazazi kujua walikuwa wapi siku nzima. Hili limepelekea shule ya upili ya Wareng katika kaunti ya Uasin Gishu kutafuta mbinu ya kiteknolojia kuhakikisha wanafunzi wote wamo shuleni, John Wanyama na taarifa hii kwa kina.

Tags:

Wareng teknolojia Shule masomo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories