Siasa za Nairobi

Gavana wa Nairobi Evans Kidero ana imani kuwa atatetea kiti chake katika kaunti ya nairobi  katika uchaguzi mkuu ujao.

Nao baadhi ya wanasiasa kutoka jubilee wana imani kuwa chama hicho kitampata mgombeaji mmoja wa kugombea kiti cha ugavana Nairobi licha ya malumbano yanayoshuhudiwa kwa sasa.

Denis Otieno ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories