Siasa za Wiper

Makataaa ya siku saba yaliyotolewa na kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa Francis Nyenze yamekatika bila muungano wa upinzani-nasa kumtaja kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kama mgombea urais wa muungano huo kama nyenze alivyoshinikiza.

Musyoka amesisitiza wiper itasalia ndani ya nasa, lakini akasema yuko macho kuhakikisha hachezewi shere na wenzake huku kitendawili cha kumtambua atakayepeperusha bendera ya Nasa kikisalia bila jibu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories