Siha na Maumbile: Afya bora ya kinywa na meno kwa mtoto ni muhimu

Afya bora ya kinywa na meno kwa mtoto ni muhimu sana na ina uhususiano wa moja kwa moja na afya yake kwa ujumla. Hata hivyo sio wengi wanaotilia maanani hili na ndio katika siha na maumbile mwanahamisi hamadi anatueleza umuhimu wa kutunza meno ya mtoto na kutupa vidokeza vya namna ya kufanya hivyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories