Siha na Maumbile: Matatizo ya meno na kinywa

Wiki iliyopita katika makala yetu ya kila alhamisi tuliangazia umuhimu wa kuzingatia afya ya kinywa na meno kwa watoto. Leo tukiwa bado tulikiwa bado kwenye suala la afya ya meno na kinywa, je unajua kwamba utunzaji wa meno na kinywa chako huenda ikiwa na ni sababu kuu ya kusambaa ama kujikinga na maradhi mengine mwili. Nilipata fursa ya kuzungumza na daktari wa meno na kukuandalia vidokezo vya namna unavyoweza kuzuia madhara yanayotokana na matatizo ya meno….

latest stories