Siha na Maumbile: Sharubati ya Miwa

Maeneo mengi ya mijini  haikosi  wafanya biashara wa miwa wanaouza miwa na wanaouza juice ya miwa. Wengi hununua juisi ya miwa kwa kuwa hufuraia utamu wake. Lakini je umewahi kujiuliza inaumunimu gani katika afya yako? Mwanahamisi hamadi anatueleza kwa kina faida za kutumia miwa haswa inayotayarishwa kama juisi.

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories