Siha na Maumbile: Ukandaji wa mtoto mdogo una manufaa mengi

Wanasena kuzaa si kazi kazi ni kulea, kumlea mtoto tangu anapozaliwa hadi anapopevuka. Malezi bora kwa watoto wachanga yakiwa mkusanyiko wa  mambo mengi kuanzia lishe bora, malazi , kinga na tiba ya  magonjwa,  Bila kusahau  kumkanda mtoto ambako kumeoneka kuwa na manufaa mengi sio tu kwa mtoto bali pia kwa  mama. Katika ziara yangu mjini malindi nilipata fursa ya kuzungumza na mhudumu wa afya, ambaye alinionesha  taratibu za kukanda, shughuli ambayo imeoneka kusaidia sana katika kumtuliza na kumpa usingizi mnono mtoto mchanga. Mengi ni katika siha na maumbile inayofuata sasa.

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories