Siha na Maumbile: upangaji uzazi

Ulimwengu ukiadhimisha siku ya upasuaji wa mpira wa uzazi kwa wanaume (au vasectomy)hapo kesho, wanaume mia moja na hamsini humu nchini wamejitokeza kufanyiwa upasuaji huo katika kampeni ya kuwashirikisha akina baba katika mpango wa uzazi.

Japo wanaume wengi wanahofia kuwa mbinu hiyo itapunguza makali yao ya kiume madaktari wanasema kuwa hizo ni hadithi za alfu lela hulela tu. Na kama anavyoarifu faiza maganga kwenye makala ya siha na maumbile, kuna uwezekano wa mwanamume kufunguliwa uzazi hata baada ya kufanyiwa upasuaji huo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories