Siku imetengwa kuadhimisha sikukuu ya Iddul –Adha

Serikali imeitangaza siku ya Jumatatu kuwa sikukuu ya mapumziko kwa wakenya wote ili kusherehekea sikukuu ya Idd Ul Adha ambayo zitakazoadhimishwa  siku hiyo na waumini wa dini ya kislamu kote duniani

Tags:

Idd Ul Adha Jumatatu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories