Siku ya figo yaadhimishwa

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya figo duniani, tunaangazia safari ya mtoto mwenye umri wa miaka kumi na minne ambaye ana maradhi ya figo. Michael huwa anapokea matibabu katika hospitali ya agakhan hapa jijini Nairobi.

Tags:

figo world kidney day

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories