Siku ya Mashujaa haikuadhimishwa Migori, Kisumu na Siaya
Published on: October 20, 2017 08:56 (EAT)
Mbali na shehere ya siku ya mashujaa iliyoandaliwa katika bustani ya Uhuru hapa jijini Nairobi, wawakilishi wa serikali kuu katika kaunti mbali mbali waliwaongoza wakenya kuadhimisha sherehe hizo. Hata hivyo baadhi ya maeneo haswa yanayokisiwa kuwa ngome ya upinzani sherehe hizo hazikufanyika.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment