Siku Ya Punda
Published on: May 18, 2015 06:56 (EAT)
Audio By Vocalize
Sherehe za siku ya kuwatunza punda zilifanyika hii leo katika maeneo mbali mbali, maudhui ya siku yenyewe ikiwa kuumpa punda haki yake. Punda hao waliweza kufanyiwa usafi na kupewa chakula huku madaktari wa wanyama wakisema lazima punda hao wapewe heshima.


Leave a Comment