Siku za mwizi…

Polisi huko Bungoma wanamzuilia mwanamke mmoja

Anatuhumiwa kuhusika na utekaji nyara wa mtoto wa shule

Washukiwa wengine watoweka huku msako ukiendelea

Watekaji nyara walitaka 250,000 kutoka kwa wazazi wa mtoto

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories