Soko la Kimalel sasa ni la kuuza kuku

Je umewahi kushuhudia kuku wakipigwa mnada? Katika Kaunti ya Baringo mambo ni kama hayo. Na kama anavyotuarifu Andrine Kilemi ni kwamba wakaazi sasa wanatumia mnada wa Kimalel ambao ni maarufu kwa kuuzia mbuzi kufanya biashara hiyo.

Tags:

goats auction KImalel

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories