Suala la kuhamia Jubilee lazidia kuzua cheche

Vuta nikuvute kati ya chama cha ODM na wabunge wake waliohamia chama kipya cha Jubilee unatarajiwa kuendelea hata baada ya kukamilika kwa makataa ya siku saba iliyotolewa na uongozi wa juu wa chama hicho ambapo wabunge hao walitakiwa kuelezea sababu za wao kuhama na kwanini wasiadhibiwe kisheria.

Tags:

JUBILEE odm

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories