Taharuki ingali imetanda mpakani Pokot-Marakwet
Published on: October 23, 2016 07:46 (EAT)
Serikali itawachukulia hatua kali wezi wa mifugo ambao wanavuruga amani katika maeneo mbali mbali hapa nchini. Naibu rais Willam Ruto alitoa kauli hiyo akiwaonya wahalifu wa maeneo ya mpaka wa pokot na marakwet waliosababisha maafa walipowavamia wanakijiji.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment