Takriban watu 80 wafariki barabarani
Published on: December 12, 2017 09:17 (EAT)
Watu wasiopungua thelathini wamepoteza maisha yao kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika eneo la Sachangwan kwenye barabara kuu ya Nakuru kuelekea Eldoret.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment