Tamko la Kenya baada ya kushindwa na Chad

Kenya sasa inalaumu lugha za kigeni barani Afrika ambazo zinadaiwa kuchangia Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Amina Mohammed kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania uwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika hapo jana nchini Ethiopia. na huku hisia mseto zikiibuka baada ya kenya kupoteza nafasi hiyo amina amezungumiza suala hilo na kudhihirisha kutoridhika kwake.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories