Tiba ya kisasa ya macho

 

Mtazamaji, je wewe huvaa miwani kutokana na shida za macho? Je, nikikuambia kuwa macho yako yanweza kurejea katika hali ya kawaida kupitia teknolojia ya laser au miale kwa sekunde thelathini tu, utaamini? Ni kana kwamba ni ndoto, lakini hilo lawezekana kama anavyotupasha mwanahabari wetu Denis Otieno.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories