Tom Cholmondley Aaga Dunia

Tom Cholmondely mwana wa Mkoloni Lord Delamere alifahamika kwa visa viwili vya mauaji ameaga dunia katika hospitali moja hapa Nairobi. Cholmondeley ambaye aliwahi kufungwa gerezani kwa zaidi ya miaka tatu amefariki akiwa na umri wa 48.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories