Trump amuonyesha kivumbi dakika za mwisho

Donald john trump amechaguliwa kuwa rais wa 45 w amarekani baada ya kumbwaga mgombea wa democratic party hillary clinton kwa kupata kura 289 za wajumbe dhidi ya kura 218 za Clinton. Rais mteule trump amewataka wamarekani kuzika tofauti zao za kisiasa na kudumisha umoja huku akiahidi kuwarais wa waliomchagua na waliombagua. Clinton amekubali kushindwa.

Tags:

Trump

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories