Tume ya IEBC yawahakikishia Wakenya tena kuwa iko tayari
Published on: July 28, 2017 08:27 (EAT)
Tuko tayari kuandaa uchaguzi mkuu ulio huru na wa haki mwezi ujao. Hili ndilo hakikisho la tume ya uchaguzi nchini(IEBC), huku zikisalia siku 10 wakenya waelekee kwenye debe. IEBC imeleezea kwa kina utaratibu wa kuwatambua wapiga kura na uwasilishaji matokeo, huku ikiondoa tashwishi kuhusu uwezekano wa wafu kupiga kura.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment