Ubabe Wa Kisiasa: Chama cha Jubilee chafanya mkutano Mathare

Viongozi wa chama cha jubilee katika kaunti ya Nairobi nao wameandaa mkutano sambamba katika eneo la Mlango Kubwa eneo bunge la Mathare wakijipiga kifua kuwa chama hicho kitaibuka na ushindi sio tu kwa kiti cha urais lakini pia ugavana wa Nairobi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories