Uchu wa uzazi

Mtazamaji hebu chukua dakika ufikirie haya, Mama ana uchungu wa kujifungua na hospitali ya karibu iko kadri kilomita 48 kwa barabara na umbali wa masaa sita kwa usafiri wa bahari. Ndio changamoto wanazopitia kina mama kila siku katika vijiji vya lamu. Hata hivyo huenda hali ikabadilika sasa kwani kama anavyotuelezea mwanahabari saida swaleh  aliyezuru eneo hilo  binti mmoja amejikakamua kuona kwamba huduma za afya sasa zinafika maeneo ambayo zilikuwa nadra.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories