Ufisadi katika IEBC
Published on: October 15, 2018 08:27 (EAT)
Audio By Vocalize
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Wafula Chebukati sasa anasema amemuandikia barua Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji na tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC kuchunguza ufujaji wa pesa katika tume hiyo.
Chebukati amesema haya siku chache baada ya kumtimua ofisini aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo ya IEBC Ezra Chiloba.
Chebukati alikuwa akizungumza katika eneo la Wote kaunti ya Makueni alikozindua zoezi la usajili wa wapiga kura.


Leave a Comment