Ugali ungali ghali

Shehena ya mahindi kutoka nchini mexico iliyotarajiwa kupunguza bei ya unga wa mahindi inatia nanga hapo kesho katika bandari ya mombasa. Hata hivyo kulingana na muungano wa wasaga mahindi bei ya mahindi haitapungua hadi mwezi julai mwaka huu. Saida swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories