Ugonjwa huu unawapata wanaume pia
Published on: August 17, 2017 08:00 (EAT)
Audio By Vocalize
Mwanaume akiumwa anaambiwa usilie wewe ni mwanaume…na ndivyo maswala mengi yanayowakabiliwa naume huwa yanashughulikiwa…kimya kimya…ila tu kuna mengine ambayo huwa yanamkandamiza mwanaume kiasi kwamba hasipozungumza, huenda yakazorotesha mustakabali wake. Leo hii tunaangazia maradhi ya nasuri au fistula kwa wanaume…Anne Mawathe anatupasha.


Leave a Comment