Uhaba wa unga bado upo
Published on: June 09, 2017 08:10 (EAT)
Zaidi ya viwanda Vinane vya kusaga unga katika kaunti ya Uasin Gishu vimefunga kwa ukosefu wa Mahindi. Wenye viwanda hivyo wamesema kuwa kwa muda wa siku tatu sasa hawajaweza kusaga unga hali ambayo wanasema wamepoteza wateja.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment