Uhuru ahudhuria kongamano la mataifa makuu Italia

Mwaliko wa Rais Uhuru Kenyatta kuhudhuria mkutano wa mataifa 7 makuu duniani maarufu G7 nchini Italia umeipa Kenya fursa ya kuushawishi ulimwengu kuhusu  haja ya kuungana pamoja katika vita dhidi ya ugaidi, ambao ni tisho kote duniani.

Tags:

Uhuru kenyatta italy G7

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories