Uhuru amjibu Raila kuhusu madai ya wizi wa kura

Rais Uhuru Kenyatta amemsuta mgombea urais wa nasa Raila Odinga kwa kutupia tope jina la walinda usalama wa nchi na kudai kuwa watatumiwa katika njama ya wizi wa kura katika uchaguzi ujao. Rais amesema kuwa Odinga amewakosea heshima wanajeshi na maafisa wa polisi kwa matamshi kama hayo na kusema kuwa kila pingamizi wanalotoa wana Nasa linaashiria kuwa hawataki uchaguzi ufanyike tarehe nane mwezi ujao.

Tags:

Uhuru kenyatta KDF raila odinga JUBILEE Busia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories