Uhuru angali anaongoza katika kinyang’anyiro cha urais
Published on: June 30, 2017 08:27 (EAT)
Ikiwa uchaguzi mkuu ungefanyika hii leo Uhuru Kenyatta angemshinda mpizani wake wa muungano wa NASA Raila Odinga. Hii ni kulingana na Utafiti wa hivi punde uliofanywa na shirika la Infotrak.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment