Uhuru, Ruto wapiga kampeini Meru kwa siku ya pili

Siasa za biashara ya miraa zimeshika kasi leo, huku rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wakipiga mbizi katika eneo la Meru lenye ukwasi wa kura kwa siku ya pili mfululizo.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE meru william ruto

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories