Uhuruto: NASA iache kuhangaisha wakenya
Published on: October 10, 2017 08:39 (EAT)
Audio By Vocalize
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wameendeleza kampeini zao katika eneo la pwani huku wakiwataka wakazi wa eneo hilo kuwapigia kura tena kwenye uchaguzi wa Septemba ishirini na sita. Wawili hao wamesisitiza kwamba wako tayari kwa marudio ya uchaguzi huo.


Leave a Comment