Uhuruto wapeleka kampeni Subukia, Nakuru
Published on: October 07, 2017 08:31 (EAT)
Rais Uhuru Kenyatta ameahidi kufanya kila awezalo kuhakikisha kwamba taifa hili linasalia imara hata linapojiandaa kwa raundi ya pili ya uchaguzi wa urais tarehe 26 mwezi huu. Rais ameyasema hayo katika kongamano la maaskofu wa kanisa la katoliki huko Subukia ambapo baadaye alifanya kampeni katika mkutano mkubwa wa hadhara katika eneo hilo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment