Ukumbusho Wa Mama Betha

Familia, jamii na marafiki wa mwenyekiti wa kampuni ya Royal Media Services daktari S.K Macharia hapo jana walikusanyika nyumbani mwao eneo la Kirinyaga katika hafla ya kumkumbuka mamake naibu mwenyekiti wa kampuni ya Royal Media Services Gathoni Macharia aliyefariki miaka 56 zilizopita.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories